WATU watano wamefariki dunia leo asubuhi baada ya basi la New Force
lilikokuwa linatokea Msamvu kwenda Mikese kugongana na gari dogo la
abiria (Hiace) lililokuwa linatokea Msamvu, mkoani Mogororo. Pia watu
kadhaa ambao idadi yao bado haijajulikana, wamejeruhiwa.
Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema chanzo ni dereva wa gari hilo la Hiace
kutaka kulipita gari la mchanga lililokuwa mbele ambapo lilijikuta
likigongana uso kwa uso na basi hilo.
Breaking News: Watano wafariki Hiace kugongana na Basi la New Force
Reviewed by taragwa
on
March 04, 2018
Rating: 5
No comments: