Jumla ya Makatibu wakuu wa wizara 15 wakiambatana na baadhi ya watendaji wa wizara hiyo kutoka mkoani Arusha, wametembelea Ziwa Manyara kuona hali halisi ya uharibifu wa ambao unatishia kukauka kwa ziwa hilo. Mwenyekiti wa makatibu wakuu hao, Katibu mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Maimuna Tarishi amesema lengo la ziara hiyo ya kikazi ni kujionea uharibifu wa ziwa na kuishauri Serikali.
Read 3 times

Ndugu zangu,
Tuliokuwepo tutakumbuka tulikuwa wapi tulipofikiwa na habari za kushtusha za kuawa kwa Waziri Mkuu wa India, Bi. Indira Ghandi. Ni asubuhi ile ya Oktoba 31, 1984.
Mimi nilikuwa maeneo ya Posta Mpya. Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi. Ghafla nikaona Daily News, tofauti na niliyoiona asubuhi. Daily News hiyo ilikuwa ikisomwa na watu ikiwa na habari kuu na picha ukurasa wa mbele; "Indira Ghandi Ameuawa."
Indira Ghandi aliuawa kwa kupigwa risasi na walinzi wake wawili masingasinga wakati akitembea kwa miguu kwenye bustani ya Ikulu kwenda kuhojiwa na mwanahabari wa Kimagharibi.
Read 20 times
MAKATIBU WAKUU NA WATENDAJI WAFANYA ZIARA ZIWA MANYARA.
Reviewed by taragwa
on
March 03, 2018
Rating:
No comments: