Hali ya Lissu yazidi kuimarika, aanza kufanya mazoezi mitaani Ubelgij
Hali ya afya ya Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Mhe. Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa ameanza kufanya mazoezi mitaani.
Lissu ambaye yupo nchini Ubelgiji akiwa katika matibabu alipopelekwa tangu mapema mwezi January mwaka huu, ameonekana kwenye picha kadhaa akiwa na mkewe katika mazoezi hay
HALI YA LISSU YAZIDIKUIMALIKA ZAIDI
Reviewed by taragwa
on
March 05, 2018
Rating:
Reviewed by taragwa
on
March 05, 2018
Rating:

No comments: